.
19th July, 2018
Hamisa Mobetto mwanamitindo maarufu nchini Tanzania ambaye pia ni mzazi mwenza wa mwanamuziki Nyota Africa mashariki Diamond Platinumz amejipata matatani kwa kuchapisha picha zisizo na maadili katika ukurasa wake wa instagram, Mobetto pamoja na muigizaji wa filamu nchini humo irene uwoya wanakabiliwa na tuhuma zinazofanana.