Wafanyabiashara eneo la Mutindwa, Buruburu na Umoja waliamkia ubomozi pasi na kutarajia.
19th July, 2018
Wafanyabiashara eneo la Mutindwa na kandokando ya barabara za mitaa ya Buruburu phase 3 na 5 pamoja na Umoja waliamkia ubomozi pasi na kutarajia. Ubomozi huo uliendeshwa na maafisa wa kaunti, polisi pia wakiwapa ulinzi.