.
19th July, 2018
Kizungumkuti sasa kimezingira kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka miwili unusu aliyefariki alipokuwa shuleni ya chekechea. taarifa hiyo sasa inaibua maswali kuhusiana na usalama wa watoto wanapokuwa wameachwa chini ya walimu wa chekechea.