Musalia Mudavadi amepinga madai ya Moses Wetangula kuwa muungano wa NASA umesambaratika
18th July, 2018
Kinara wa chama cha Amani Musalia Mudavadi amepinga madai ya kinara mwenza katika NASA ambaye pia ni seneta wa Bungoma Moses Wetangula kuwa muungano wa NASA umesambaratika.