×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kizaazaa Nakuru baada ya mtoto kufariki wakati wazazi wake walipuuza kumpeleka hospitalini

18th July, 2018

Kulikuwa na kizaazaa katika maziara ya mji wa Nakuru pale wakazi walipovamia na kusimamisha mazishi  ya mtoto wa umri wa miaka 14 anayedaiwa kufariki baada ya wazazi wake kupuuza kumpeleka hospitalini . Wakazi wanadai kwamba familia hiyo inafuata dini yao ya kutoruhusu wagonjwa kutibiwa  hali ambayo imesababisha vifo vya watoto 7 kufikia sasa.

.
RELATED VIDEOS