15th July, 2018
Wachezaji chipukizi wa mpira wa vikapu nchini watanufaika kwa kupata mafunzo ya jinsi ya kucheza na kuboresha mchezo wa mpira wa vikapu kutoka kwa mkufunzi maarufu mmarekani travis coleman, pamoja na lady pace kutoka malawi, ambao wameshirikiana na kundi la beyond hoops africa kutoa mafunzo kwa vijana na watoto wadogo