.
15th July, 2018
Obama anatarajiwa kuwasili katika eneo la nyangoma kogello alikozaliwa baba yake. Katika eneo hilo viwango vya matarajio vinazidi kupanda.Na kama anavyotujuza mwanahabari wetu lofty matambo, sanaa ya michoro imetumika kuipamba historia yake huku zawadi zinazoambatana na tamaduni za kijaluo zikiimsubiri