Watu kadhaa wakamatwa kwa madai ya kuwa na kichinjio haramu Juja
15th July, 2018
Ikiwa unaishi maeneo ya Juja, Thika na hata Nairobi pengine umewahi kula kuku ambaye hujui alikochinjiwa. Watu kadhaa wamekamatwa huko juja baada ya kupatikana kuwa wamekuwa na kichinjio haramu cha kuku msituni