Mbunge Alice Wahome akoso mapendekezo ya kufanya sare za shule ziwe sawa
14th July, 2018
Mbunge wa kandara Alice Wahome amekosoa mapendekezo ya kufanya sare zote za shule ziwe sawa. Wahome amesema sare za shule zilivyo zina utambulisho maalum na utaratibu huo hutakiwi kuvurugwa