×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Mwingi wapigwa butwaa baada ya maiti ya mtu mmoja kupatikana karibu na soko

14th July, 2018

Wanakijiji wa Musukini eneo la Mwingi wameamka na mshangao wa kuupata mwili wa mwanamume mwenye  umri wa makamo akiwa ameuwawa karibu na soko la Musukuni. Wakati uo huo, familia moja eneo la Mwingi inasaka haki kwa msichana wao anayedaiwa kubakwa na kutungwa mimba na kasisi mmoja eneo hilo

 

.
RELATED VIDEOS