.
14th July, 2018
Abraham Kiptum ndiye mshindi wa mbio za Kabarak marathon mwaka huu ambazo ziliandaliwa leo asubuhi katika kaunti ya Nakuru katika upande wa kina dada,Valary Jemeli alimaliza wa kwanza kwa muda wa saa moja,dakika kumi na tatu na sekunde mbili