14th July, 2018
Katika makala ya Tembea Kenya jumamosi hii mwanahabari Agnes Penda alitembelea kaunti ya Baringo na kubaini kwamba mito na vidimbwi vya maji moto ni kawaida katika sehemu za bonde la ufa nchini kenya lakini katika kaunti hii ya baringo hoteli moja eneo hili imeyakusanya maji moto kutoka ardhini ili kutumiwa katika kuogelea . Maji hayo yana uwezo wa kuponya maradhi kwenye mifupa kulingana na wenyeji