.
14th July, 2018
Vijana na washikadau ambao huhusika kwenye maandalizi ya sherehe maalum za matanga katika kaunti ya Busia almaarufu kama disco matanga sasa wanahofia huenda wakakosa riziki iwapo bunge la kaunti hiyo litapitisha mswada wa kupinga shamra shamra hizo