Aliyekuwa rais wa marekani Barack Obama anatarajiwa humu nchini Jumapili hii
12th July, 2018
Aliyekuwa rais wa marekani Barack Obama anatarajiwa humu nchini Jumapili hii. Kijiji cha K’ogelo kinajiandaa kumpokea mwana wao ambaye atazindua kituo cha ufundi cha sauti kuu cha dadake daktari Sarah Obama.