Maskwota Kisauni watoa wito kusitisha shughuli zozote kuendelea katika kipande cha ardhi

KTN Leo | Wednesday 11 Jul 2018 7:47 pm

Zaidi ya maskwota mia tisa katika eneo la Kisauni wametoa wito kwa idara ya mahakama kusitisha shughuli zozote kuendelea katika kipande cha ardhi ya Ekari 132 inayokumbwa na mzozo katika eneo hilo. Maskwota hao wamelalama kwamba kesi waliowasilisha mahakamani  imechukuwa muda kutatuliwa na tayari ardhi hiyo imeanza kuuzwa.