Mahakama ya rufaa mjini Eldoret imeidhinisha ushindi wa mbunge Alfred Keter
11th July, 2018
Mahakama ya rufaa mjini Eldoret imeidhinisha ushindi wa mbunge wa Nandi Hills, Alfred Keter baada ya kutupilia mbali uamuzi wa awali wa mahakama kuu ambao ulikuwa umeharamisha ushindi wake.