Taarifa ya Mseto: Mwanaume mmoja aliyepatikana na hatia ya kuua apewa adhabu ya kifo
7th July, 2018
Katika mseto wa taarifa zetu mahakama mjini Eldoret imetoa adhabu ya kifo kwa mwanamume moja aliyepatikana na hatia ya kuua. Na katika kaunti ya Kericho polisi wamkamata mtu mmoja aliyewaua jamaa zake watatu akiwemo mkewe