×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bandari FC walaza Kakamega Homeboys

7th July, 2018

Darius msagha aliipa timu ya bandari fc ushindi baada ya kusawazisha bao la pekee la mechi dhidi ya kakamega homeboyz katika mchuano wa ligi kuu nchini, uliochezwa uwanjani mbaraki. Ushindi huu umeiweka bandari katika nafasi ya tatu kwenye jedwali huku ikiwa na alama thelathini na tano, ikiwa ni ushindi wa kwanza wa mkufunzi bernard mwalala.  Kwenye mechi zengine zilizochezwa leo, nicholas kipkurui aliipa zoo kericho ushindi wa bao moja kwa nunge dhidi ya chemelil sugar

 

.
RELATED VIDEOS