7th July, 2018
Umuhimu wa kutembea Kenya ni kupata kujua mengi kuhusu historia na jamii za humu nchini, kando na kupunga hewa. Na katika makala ya kila wiki ya Tembea Kenya, Raquel Muigai anatutembeza katika makavazi ya kipekee barani katika kaunti ya Marsabit