.
7th July, 2018
Utafiti uliotolewa wiki hii jijini Dar es salaam na asasi ya kiraia ya twaweza umeonesha rais Dr. John Pombe magufuli wa Tanzania amepoteza uungwaji mkono kutoka wananchi wa taifa hilo na pia nusu yao hawako huru kuonesha mitazamo yao ya kisiasa