Viongozi wa Magharibi wamtaka rais abuni jopo la uchunguzi kuhusu sukari
7th July, 2018
Viongozi kutoka jamii ya Magharibi wanamtaka Rais Kenyatta kubuni jopo la kuchunguza sakata ya sukari huku wabunge 25 wakiwa wameiandikia bunge barua ya kuvunja kamati zilizohusika