7th July, 2018
Baada ya safari maeneo ya Magaribi Naibu Rais William Ruto amezuru eneo la Vanga huko Kwale akitetea ziara zake kama zinazochochewa na azma ya maendeleo. Ziara hii ikiwa kwenye ngome yake Raila Odinga ikionekana kutia nguvu urafiki mpya na baadhi ya wabunge wa ODM