×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Noordin Haji ameagiza kukamatwa na kufunguliwa mashataka bwana Patel Mansukh

4th July, 2018

Mkuu wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameagiza kukamatwa na kufunguliwa mashataka bwana Patel Mansukh na meneja wake Vinoy Jaya-Kumar kwa makosa ya kuua bila kukusudia. Aidha maafisa kadhaa wa NEMA na warma wamewekwa kwenye orodha ya kufunguliwa mashtaka inayohusiana na  kuitelekeza  kazi hatua iliosababisha bwawa la Patel kuvunja kuta zake na kusabisha vifo vya watu arobaini na saba.

.
RELATED VIDEOS