×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkewe mwakilishi wadi 'aliyetekwa' nyara asimulia masaibu yake

2nd July, 2018

Muungano wa wawakilishi wa wadi kote nchini umekutana kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusiana na usalama wa waakilishi wadi. Wakiongozwa na spika wa kaunti ya Kajiado Johnson Osoi  ambaye pia ndiye mwenyekiti wa muungano huo walisema kuwa wakati umefika kwa serikali kutoa usalama wa kutosha kwa waakilishi wadi wote kama waheshimiwa wengine. Haya yanajiri saa chache baada ya mwakilishi wadi wa  silale nelson lotela kupatikana  akiwa mzima baada ya siku moja ya kutoweka katika hali tatanishi.

 

.
RELATED VIDEOS