Tathmini ya mikasa ya moto sokoni Gikomba, ni nini kiini hasa?
2nd July, 2018
Miili minane kati ya miili kumi na saba iliyoteketea katika mkasa wa moto wa gikomba imetambuliwa na familia zao. Watu wengine tisa hawajabainika waliko baada ya familia zao kuripoti kupotea kwao baada ya janga hilo.