Jaji Maraga aagiza maafisa katika mahakama kuunga mkono vita dhidi ya ufisadi
30th June, 2018
Jaji mkuu David Maraga amewaagiza maafisa katika idara ya mahakama kuungana mkono juhudi za rais Uhuru Kenyatta za kukabiliana na ufisadi. Maraga amesema idara ya mahakama itaongoza katika vita dhidi ya ufisadi