.
30th June, 2018
Wahudumu wa matatu na wenzao wa bodaboda walikua na makabiliano makali yaliowalazimu polisi kuingilia kati. Inadaiwa dereva wa matatu mmoja alimgonga mhudumu wa boda boda na kutoroka. Matatu moja na bodaboda kumi zilichomwa kwenye makabiliano hayo.