Mradi wa kuwapa wasichana wa Samburu elimu wazinduliwa

KTN News Jun 28,2018


View More on KTN Leo

Wasichana millioni kumi na tano katika  kanda ya Afrika Mashariki wana kiu ya kupata elimu. Nchini kenya  wizara ya elimu kwa ushirikiano na serikali ya uingereza sasa zimeahidi kushirikiana na shule zilizo maeneo kame na wafugaji wa kuhamahama  kama njia moja ya kuafikia miaka kumi na miwili ya masomo ya mtoto wa kike, mradi uliozinduliwa mwaka huu kwenye kongamanao la mataifa ya jumuiya ya madola