×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kiini cha moto wa Gikomba ulioua 15 bado haujabainika

28th June, 2018

Watu kumi na watano wamethibitishwa kufariki katika mkasa wa moto ulioteketeza majengo yaliyo karibu na soko la gikomba hapa jijini nairobi usiku wa kuamkia leo.  Kadhalika watu sabini wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya kenyatta baada ya kujeruhiwa katika mkasa huo.  Bado haijabainika ni nini kilichosababisha moto huo.

.
RELATED VIDEOS