×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge wa zamani wa mlima Kenya wakutana na Raila, kunani?

27th June, 2018

Wabunge wa zamani kutoka eneo la mlima Kenya wameunga mkono juhudi za rais Uhuru Kenyatta kukabiliana na ufisadi. Wabunge hao wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Mukurweini Kabando wa Kabando, walikutana na kiongozi wa upinzani Raila Odinga na baadaye kuzungumza na wanahabari. Kabando amewaonya wanaozungumzia siasa za 2022 kukoma, akisema kuwa huu ni wakati wa kutumikia wananchi.

.
RELATED VIDEOS