×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Duale na Murkomen washinikizwa kujiuzulu kwa 'kushindwa' na kazi

27th June, 2018

Mbunge wa Tiaty William Kamket amewataka viongozi walio wengi bungeni aden duale na kiongozi wa walio wengi kwenye seneti Kipchumba Murkomen kujiuzulu iwapo hawapendelei utaratibu wa kutathmini mienendo na mali ya viongozi kama njia mojawapo wa kukabiliana na ufisadi nchini. Akizungumza katika eneo la chemolingot kaunti ya Baringo Kamket alisisitiza kuwa kanu ipo tayari kushirikiana na rais uhuru kenyatta kufanishikisha malengo yake hadi mwaka wa 2022.

 

.
RELATED VIDEOS