Jamaa na mke wake wakamatwa JKIA wakisafirisha mihadarati yaliyo tumboni
27th June, 2018
Washukiwa wawili wamekamatwa baada ya kutuhumiwa kusafirisha mihadarati. Wawili hao wanadaiwa kumeza tembe za mihadarati kisha wasafirishe hadi nchi ya nje, inadaiwa kuwa walimeza takribani tembe themanini.