×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vitimbi Busia kaburi la askofu likiporormoka baada ya siku tatu tangu kuzikwa

27th June, 2018

Tukio la kuwashangaza wanakijiji wa kijiji cha Namisi kaunti ya Busia wamegutushwa na tukio la kaburi la bwana mmoja askofu huko kuporomoka baada ya siku tatu tangu kuzikwa kwake. Familia ya mzee huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka tisini inasema hilo lilitendeka sababu maagizo ya kuzikwa kwake hayakufuatwa.  hata hivyo baadhi ya watu wanahusisha tukio hilo na ujenzi mbaya wa kaburi hilo  na kuchangia kuwa rahisi kuporomoka. 

 

.
RELATED VIDEOS