Maafisa katika kaunti ya Bungoma wapatikana na hatia katika sakata ya toroli
25th June, 2018
Aliyekuwa katibu wa baraza la mawaziri katika kaunti ya Bungoma ametozwa faini ya shilingi laki nane au afungwe miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa pesa za umma