25th June, 2018
Wafanyabiashara wadogo wadogo hasa wa vijijini hushindwa kuendeleza biashara zao kutokana na kutokuwa na uwezo wa kuweka mahesabu yao pamoja na kufahamu faida wanayopata. Lakini sasa uvumbuzi wa programu ya eazysell utawafaidi pamoja na kupunguza visa vya utovu wa uaminifu ambapo watoto kwa mfano wakitumwa dukani wanashindwa kurudisha salio la pesa