Mahakama yamuuliza Ongwae alipe millioni 28 ili awachiliwe
25th June, 2018
Baada ya vuta nikuvute iliyodumu kutwa nzima katika mahakama kuu hapa mjini Nairobi hatimaye mkurugenzi mkuu wa shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS Charles Ongwae na wenzake wanane wameachiliwa huru kwa dhamana