Friendzone yafuzu katika awamu ya kumi na sita ya dimba la Sportpesa
24th June, 2018
Timu ya soka ya friend zone imefuzu awamu ya kumi na sita bora ya ngao ya sportpesa kwa kuduwaza chuo kikuu cha zetech, mabao mawili kwa moja, kwenye mchuano uliochezwa ugani camp toyoyo