Wabunge watofautiana kuhusu salamu za Raila na Uhuru
24th June, 2018
Cheche za maneno zimeshuhudiwa kati ya wabunge wa upinzani katika kaunti ya kwale kuhusu salamu kati ya rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga na hatua ya baadhi yao kumuunga mkono naibu rais William Ruto