×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shirikisho la wafanyikazi (FKE) lazindua tuzo kwa waajiri bora nchini

21st June, 2018

Shirikisho la  la wafanyikazi nchini Kenya  hii leo limezindua awamu ya pili ya tuzo za kampuni bora zaidi kwa wafanyikazo. Hafla hiyo  inalenga  kuwatia moyo wafanyikazi na inatarajiwa kufanyika katika muda wa miezi miwili ijayo . Akizungumza  wakati wa uzinduzi huo afisaa mkuu mtendaji wa  wa shirika la The Standard Group Orlando Lyomu amewahimiza waajiri kuhakikisha kuwepo kwa mzingira bora ya kufanya kazi . 

 

.
RELATED VIDEOS