×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Walimu wakuu kwenye njia panda, KNUT ikitofautiana nao kwa suala la uhamisho

21st June, 2018

Walimu wakuu wameachwa katika njia panda kuhusu azimio la kuhamishwa kutoka shule moja hadi nyingine. Msimamo wa muungano wa KNUT unatofautiana na mapendekezo ya walimu wakuu ambao wameonekana kulegeza kamba katika kongamano la 43 linaloendelea huko mombasa.

 

 

.
RELATED VIDEOS