×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kubadilishwa kwa njia ya ndege ya Cessna Caravan huenda kulisababisha ajali

21st June, 2018

Kitengo cha kuchunguza ajali za ndge nchini sasa kinakisia huenda maagizo ya kumtaka rubani wa ndege aina ya  Cessna Caravan  kubadilisha njia na kupitia mlima wa Aberdare badala ya kupitia mlima wa Ngong yalihitilafiana na safari nzima ya ndege hiyo iliyoanguka na kusababisha vifo vya watu kumi papo hapo. wakizungumza wakati wa taarifa ya pamoja wizara ya uchukuzi sawa na halmashauri ya ndege nchini wamesema hata hivyo uchunguzi ungali unaendelea.

 

 

.
RELATED VIDEOS