×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aisha Jumwa apuuzilia 'tetesi' kwamba ODM inapanga kumng'oa katika kamati ya bunge

21st June, 2018

Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa amepuuzilia mbali madai kwamba chama cha odm kinapanga kumuondoa katika  kamati ya bunge ya huduma   kwa huduma za bunge .Aisha amesema kuwa hajatengana na chama cha ODM na kionmgozi wa chama hicho raila odinga na kwamba ni tetesi za uongo kwenye vyombo vya habari , jumwa ametaja  uhusiano wa  kisiasa baada ya rais uhuru kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga umemfanya kuwa wazi kutangamana na wansiasa wengine .  Aisha hata hivyo amesema kuwa  atamuunga mkono William  Ruto  kwa kinyang'anyiro cha urais mwaka wa 2022. 

 

.
RELATED VIDEOS