.
20th June, 2018
Mbunge wa Tiaty William Kamket na wenzake Caleb Amisi wa Saboti na Fred Ouda wa Gem wamesema hakuna njia zozote zitakazozuia kufanyiwa ukaguzi wa mitindo ya maisha ya viongozi ilivyoamriwa na rais Uhuru Kenyatta. Wamesema hayo leo katika majengo ya bunge la taifa.