Raila Odinga asema kuwa salamu lake na Rais Uhuru Kenyatta bado lipo
18th June, 2018
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amewahakikishia wanachama wa odm kuwa salamu zake na Rais Uhuru Kenyatta zingalipo na kuwa wasiwe na wasiwasi wowote kwa viongozi walioanza kampeni za mapema za 2022