Mwanamke Ngangari: Nancy Kimining anawasaidia wenye kifafa
17th June, 2018
Mwanahabari wetu Elvis kosgey amemhoji Nancy Kimining' ambaye aliacha kazi ya uanahabari na kuwa mstari mbele katika kupigania haki za wagonjwa wa kifafa eneo la North Rift na kuandaa makala ya Mwanamke ngangari.