Maazimio ya wakazi wa Westlands kuhusu uchumi na gharama ya maisha | #BudgetKE2018
14th June, 2018
Wakati hotuba ya bajeti ikisomwa wakenya waliendelea na shughuli zao. Mwanahabari Mark Namaswa alifika mtaa wa Westlands, unaosemekana kuwa wa kifahari kutathmini maazimio ya wakazi kuhusu uchumi na gharama ya maisha.