Kilimo cha korosho kuzinduliwa upya katika kaunti za Kilifi, Lamu na Kwale

KTN Leo | Tuesday 12 Jun 2018 7:49 pm

Wakulima wa korosho katika kaunti za Lamu, Kwale na Kilifi wamepata afueni baada ya mpango wa kuzindua kilimo cha korosho kuzinduliwa tena hii leo.Gavana wa Kilifi amason Kingi ameitaka serikali ya kitaifa kutambua korosho kama moja ya mimea ya kilimo biashara. Francis Mtalaki alihudhuria uzinduzi huo na kutuandalia taarifa ifuatayo.?Wakulima wa korosho katika kaunti za Lamu, Kwale na Kilifi wamepata afueni baada ya mpango wa kuzindua kilimo cha korosho kuzinduliwa tena hii leo.Gavana wa Kilifi amason Kingi ameitaka serikali ya kitaifa kutambua korosho kama moja ya mimea ya kilimo biashara. Francis Mtalaki alihudhuria uzinduzi huo na kutuandalia taarifa ifuatayo.?