×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule ya Maasai yafungwa wanafunzi wakidai walimu wa kiume wanawanyanyasa kimapenzi

12th June, 2018

Shule ya upili ya wasichana ya Maasai iliyoko katika kaunti ya Narok imefungwa, baada ya wanafunzi mia saba wa shule hiyo kususia masomo na kuondoka shuleni mapema leo, ili kulalamikia kile walichokitaja kuwa unyanyasaji wa jinsia na walimu wao wa kiume. Wazazi wenye hasira wamekilaani kitendo hicho na kumtaka waziri elimu, Amina Mohamed, kuingilia kati na kuwachukulia hatua walimu wote wanaohusika na kitendo hicho.?

.
RELATED VIDEOS