×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa wa NYS waachwa kwenye mataa, korti ikiahirisha kesi ya dhamana

12th June, 2018

Harakati za kutafuta majibu kuhusiana na sakata ya kupotea kwa mamilioni ya pesa katika idara ya NYS ziliendelea hii leo mahakamani. Washukiwa wa sakata hiyo kwa mara nyingine wakiachwa kwenye mataa kuhusiana na ombi lao la kuachiliwa kwa dhamana. Hata hivyo, mahakama kuu imeahirisha uamuzi wa huo hadi tarehe 19 mwezi huu.

 

.
RELATED VIDEOS