Osotsi awalaumu viongozi wa FORD Kenya na ANC kwa kuwapotosha wafuasi wao kuhusu muungano wa NASA
11th June, 2018
Osotsi awalaumu viongozi wa FORD Kenya na ANC kwa kuwapotosha wafuasi wao kuhusu muungano wa NASA. Mbunge mteule alipuuzilia mbali madai ya kwamba muungano wa NASA ulikuwa umesambaratika.